Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...
Si vyema kumtumia mwenzako emoji ya kukonyeza kupitia ujumbe. Ukaribu huo ambao mara nyingine unachochea mapenzi ya ofisi haukuwezekana wakati wa janga la corona, wakati wengi walikuwa wanafanya kazi ...
Kwa miaka kadhaa sasa, Lulu Diva amekuwa mmoja wa mastaa wa kike wanaozua mjadala mkubwa kwenye ulimwengu wa burudani ...
Mashabiki wengi Afrika waliipenda Arsenal F.C. kutokana na wachezaji wenye asili ya Kiafrika, mafanikio ya Kocha mkongwe, ...
Kwa mara ya pili serikali ya Kenya imepiga marufuku filamu inayoangazia masuala ya mapenzi ya jinsia moja iitwayo “I am Samuel”. Bodi ya filamu KFCB ilitangaza kuwa filamu hiyo haifai kutazamwa na ...
"Matendo ya wapenzi wa jinsi moja" sasa yamepigwa marufuku na kuharamishwa nchini Burkina Faso. Sheria inayoruhusu vifungo vya hadi miaka mitano jela imepitishwa siku ya Jumatatu, Septemba 1, na Bunge ...
Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha wananchi ...