Umoja wa Ulaya Jumanne umekosoa msamaha wa hivi karibuni wa vikwazo uliotolwa na Marekani dhidi ya mafuta ya Urusi.
Kwa mujibu wa Seneta Risch, mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni, Marekani itatathmini upya ushirikiano wake wa kiusalama, unaojumuisha vikwazo na ushirikiano wa kijeshi na Uganda. Na ...
Serikali ya Uingereza imeomba msamaha kwa kufeli kuwaweka katika kumbukumbu wanajeshi weusi na wale wa kutoka bara Asia waliofariki wakipigania ufalme wa Uingereza. Ripoti moja ya tume ya makaburi ya ...
Rufaa iliyowasilishwa na wabunge wa upinzani ilishutumu maandishi yaliyotayarishwa ili kuruhusu wafuasi wa Pastef, chama ambacho kiko madarakani, kutokuwa na wasiwasi. Hatimaye, uamuzi wa Baraza la ...
Kwa mara nyingine tena, Rais Donald Trump ametumia mamlaka ya rais kutoa msamaha kwa washirika wa kisiasa, watu maarufu, na waliohusika na kashfa kubwa za kifisadi, na kuibua mjadala kuhusu matumzi ya ...
Programu ya habari ya Afrika Upya inapeana habari mpya na uchambuzi wa changamoto kuu za kiuchumi na maendeleo zinazoikabili Afrika leo. Inachunguza maswala mengi yanayowakabili watu wa Afrika, ...
Mwezi wa Msamaha: Umoja wa Mataifa-AU wito wa pamoja wa kusalimisha silaha haramu Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Masuala ya Upunguzaji wa Silaha za Vita Kutafuta juhudi za kunyamazisha bunduki barani ...