Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Seleman Jafo, amesema Tanzania kwa sasa ina jumla ya viwanda 13 vya kuunganisha magari, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha sekta ya viwanda nchini kupitia ...
WATU 14 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu, likiwamo lori na costa. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alisema ajali ...